
Maombi ya Udahili Chuo Kikuu cha National Institute of Transport (NIT Application 2025/2026)
National Institute of Transport (NIT) ni taasisi ya elimu ya juu inayotoa mafunzo katika nyanja za usafirishaji, usafiri, na teknolojia ya mawasiliano. Kwa mwaka wa masomo 2025/2026, NIT inakaribisha maombi ya udahili kwa programu mbalimbali za shahada, stashahada, na cheti. Mwongozo huu unalenga kukupa taarifa muhimu kuhusu mchakato wa maombi, sifa zinazohitajika, nyaraka muhimu, na…