
Ajira Portal: Jinsi ya kujisajili na kutuma maombi ya kazi kwenye Ajira Portal Sekretariat ya Ajira (PSRS)
Ajira Portal ni jukwaa la mtandaoni linalotumiwa na Sekretariat ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) kwa ajili ya kusaidia mchakato wa kuajiri katika taasisi za serikali. Sekretariat ya Ajira (PSRS) ni chombo kinachohusika na uratibu wa ajira katika Taasisi mbalimbali za umma, ikilenga kuhakikisha kuwa mchakato huu unafanyika kwa uwazi, usawa, na ufanisi. Ajira…