Haya hapa majina ya walimu na orodha nzima ya walioitwa kazini leo kutoka sekretarieti ya ajira katika utumishi wa Umma.
Hongera kwa wale wote waliochaguliwa kushiriki katika usaili wa ajira za ualimu mwaka 2025. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, usaili utaanza tarehe 14 Januari, 2025 na kumalizika tarehe 24 Februari, 2025. Ratiba kamili ya usaili inapatikana kwenye tovuti rasmi ya Sekretarieti ya Ajira:
https://www.ajira.go.tz/baseattachments/placementsattachments/2025010240192124.pdf
https://www.ajira.go.tz/baseattachments/placementsattachments/2025010239190523.pdf
https://www.ajira.go.tz/baseattachments/placementsattachments/2025010238190222.pdf