
PDF za Walimu Walioitwa kazini Ajira Portal 2025 Majina ya Walimu
Haya hapa majina ya walimu na orodha nzima ya walioitwa kazini leo kutoka sekretarieti ya ajira katika utumishi wa Umma. Hongera kwa wale wote waliochaguliwa kushiriki katika usaili wa ajira za ualimu mwaka 2025. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, usaili utaanza tarehe 14 Januari, 2025…