
Nafasi 400 za Ajira Mpya Benjamin William Mkapa Qatar
Benjamin William Mkapa Foundation (BMF), kupitia kampuni yake tanzu ya Imara Horizon, imetangaza nafasi 400 za ajira kwa madereva wa mabasi na malori makubwa nchini Qatar. Sifa zinazohitajika kwa waombaji: •Uzoefu wa kuendesha mabasi au malori makubwa. •Leseni halali ya udereva inayoruhusu kuendesha magari makubwa. •Uwezo wa kuwasiliana kwa lugha ya Kiingereza ni faida ya…