
Tangazo lakazi kutoka kampuni ya BBC Media Action
BBC Media Action Mkataba wa Muda Maalum Mahali: Nafasi hii itakuwa katika mojawapo ya ofisi za BBC Media Action barani Afrika au Asia. Ofisi za sasa za BBC Media Action ziko katika miji ifuatayo, na jukumu hili linaweza kuwa katika mji wowote kati ya hii, kulingana na hali ya usalama wakati wa uteuzi: Abuja, Addis…