
Orodha ya majina walioitwa kwenye usaili kada mbalimbali
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya ametoa tangazo la kuitwa kwenye usaili kwa waombaji waliotuma maombi ya kazi mbalimbali. Usaili huu unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 22 hadi 26 Aprili 2025. Nafasi zinazohusika ni pamoja na: •Mwalimu Daraja la III A •Mwalimu Daraja la III B •Mwalimu Daraja la III C •Mwandishi Mwendesha Ofisi II…