
Maombi ya Udahili Chuo Kikuu cha Cecnter for Foreign Relations (CFR Application 2025/2026)
Center for Foreign Relations (CFR) ni taasisi ya elimu ya juu inayotoa mafunzo katika masuala ya uhusiano wa kimataifa na diplomasia. Kwa wale wanaotamani kujiunga na CFR kwa mwaka wa masomo 2025/2026, ni muhimu kufahamu mchakato wa maombi, tarehe muhimu, sifa za udahili, nyaraka zinazohitajika, na hatua za kufuata katika kutuma maombi. Makala hii itakupa…