
Sifa za Kujiunga na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)
Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ni taasisi ya elimu ya juu inayojulikana kwa kutoa mafunzo bora katika nyanja za biashara na usimamizi. Kikiwa na kampasi katika miji ya Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza, na Mbeya, CBE imekuwa mstari wa mbele katika kuandaa wataalamu wenye ujuzi na maarifa yanayohitajika katika soko la ajira la sasa….