
Ada Na Kozi Zinazotolewa NaChuo cha Kodi (ITA Courses And Fees)
Institute of Tax Administration (ITA) ni taasisi ya elimu ya juu inayojikita katika kutoa mafunzo ya forodha na kodi. Ikiwa sehemu ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ITA inatoa programu mbalimbali za mafunzo kwa ngazi tofauti, zikiwemo cheti, diploma, shahada ya kwanza, na uzamili. Taasisi hii inalenga kuandaa wataalamu wenye ujuzi na maarifa katika nyanja…