
Matokeo ya yanga vs tabora united leo 2/4/2025
Katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika leo, Aprili 2, 2025, kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora, Yanga SC iliibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United. Mfululizo wa mabao: •Dakika ya 21: Israel Patrick Mwenda alifunga bao la kwanza kupitia mpira wa adhabu. •Dakika ya 63: Clement Mzize aliongeza…