
HESLB: Jinsi ya kuomba Mkopo wa Stashahada – DIPLOMA
Mwongozo wa Utoaji Mikopo ya Elimu kwa Wanafunzi wa Stashahada Toleo la Pili 2025 Unapatikana www.moe.go.tz www.heslb.go.tz Maelekezo Muhimu kwa Wanafunzi Wote Wanaomba Mikopo DIPLOMA Waombaji wote wa mikopo ya elimu kwa ngazi ya Stashahada kwa mwaka wa masomo 2025/2026 wanafahamishwa kuzingatia mambo yafuatayo: Kusoma na kufuata taratibu za maombi katika Mwongozo wa mwaka wa masomo 2025/2026….