
Jinsi ya Kuangalia Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Vyuo vya Kati 2025/26
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imetangaza rasmi majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya kati kwa mwaka wa masomo 2025. Uteuzi huu ni hatua muhimu kwa wanafunzi wa Kitanzania waliomaliza mtihani wa kidato cha nne. Kwa mwaka 2025, kati ya wanafunzi 197,426 waliofaulu, wanafunzi 56,801 wamechaguliwa kujiunga na…