
Tangazo lakuitwa kwenye usaili majina ya nyongeza 17/03/2025
Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, imetoa tangazo la nyongeza la kuitwa kwenye usaili kwa waombaji kazi katika Wizara, Idara Zinazojitegemea (MDAs), na Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs). Usaili huu unahusisha majina ya nyongeza na utafanyika kuanzia Machi 17, 2025 hadi Machi 29, 2025 katika vituo mbalimbali vilivyotajwa katika tangazo…