Kuitwa Kazini Serikalini, UTUMISHI February 2025

Kuitwa Kazini Serikalini, UTUMISHI – Februari 2025

Angalia Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS).

Serikali kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inawatangazia waombaji wa ajira waliopata nafasi za kazi katika taasisi mbalimbali za umma. Sekretarieti ya Ajira ni idara huru ya serikali iliyoanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002, iliyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007, kifungu cha 29(1), kwa lengo la kurahisisha mchakato wa ajira katika utumishi wa umma.

Majukumu ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

Kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma, Sura ya 298 ya mwaka 2002, iliyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007, kifungu cha 29(1), majukumu ya PSRS ni:

✔ Kutafuta wataalamu wenye ujuzi maalum na kutengeneza hifadhidata kwa ajili ya kurahisisha mchakato wa ajira.

✔ Kusajili wahitimu na wataalamu kwa lengo la kuweka kumbukumbu kwa ajili ya kujaza nafasi za kazi zinapojitokeza.

✔ Kutangaza nafasi za kazi zilizopo katika utumishi wa umma.

✔ Kushirikiana na wataalamu wa fani mbalimbali kwa ajili ya kuendesha usaili wa ajira.

✔ Kutoa ushauri kwa waajiri kuhusu masuala yanayohusiana na ajira.

✔ Kufanya majukumu mengine yoyote yatakayoelekezwa na Waziri mwenye dhamana ya Utumishi wa Umma.

Tangazo la Kuitwa Kazini – Februari 2025

Sekretarieti ya Ajira inawaita waombaji wa ajira waliofaulu usaili kwa ajili ya kuanza kazi katika taasisi mbalimbali za umma. Orodha ya waliopata ajira imetolewa katika tarehe zifuatazo:

📌 TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back To Top