-
Hakikisha umesaini fomu ya maombi ya mkopo
-
Hakikisha mdhamini wako amesaini fomu yako katika eneo lake
-
Hakikisha fomu yako imesainiwa na kugongwa mihuri na Serikali ya Mtaa au Kijiji chako
-
Hakikisha fomu yako imesainiwa na mwanasheria au hakimu kuthibitisha taarifa zako na za mdhamini wako
