Ni nyaraka gani muhimu zinatakiwa wakati wa kuomba mkopo?

  • Cheti cha kuzaliwa cha mwombaji kilichothibitishwa na RITA/ZCSRA

  • Cheti cha kifo ikiwa umepoteza mzazi kilichothibitishwa na RITA/ZCSRA

  •  iKitambulisho cha mdhamini (NIDA, Mpiga Kura, Leseni ya Udereva au Pasi ya Kusafiria). Unaweza kutumia kimoja kati ya vitambulisho hivi

  • Fomu ya ufadhili iliyojazwa kwa usahihi ikiwa ulifadhiliwa katika masomo ya sekondari

  • Barua ya Mganga Mkuu wa Wilaya au Mkoa ikiwa mwombaji au mzazi wake ana ulemavu vii.

  • Picha (passport size) za mwombaji wa mkopo na mdhamini wake (mdhamini anaweza kuwa mzazi au mlezi)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back To Top