
Vyuo vya Afya Tanzania (Orodha ya Vyuo vyote vya Afya vya Private, Serikali, Kozi za afya zinazotolewa Pamoja na sifa na vigezo Vya Kujiunga) Tanzania
Vyuo vya afya nchini Tanzania vimekuwa na mchango mkubwa katika kuzalisha wataalamu wengi wanaotoa huduma za afya katika hospitali na vituo vya afya kote nchini. Tanzania, kama ilivyo kwa mataifa mengine yanayoendelea, inakabiliwa na changamoto nyingi za kiafya, hivyo wataalamu wenye ujuzi na walimu katika fani za afya ni muhimu sana. Afya ni moja ya…