
Waliochaguliwa Kujiunga na Kambi ya Luwa JKT – 2025
Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mwaka 2025 yametolewa. Programu hii inalenga kuwaandaa wanafunzi waliohitimu kidato cha sita kwa hatua inayofuata kabla ya kujiunga na vyuo vikuu. Hakikisha: Kusoma maelekezo ya kujiunga na JKT kwa umakini. Kukamilisha mahitaji yote ya JKT kwa 2025. Kuhakikisha cheti cha kuzaliwa kimehakikiwa na…