
Nafasi 5 za Ajira kutoka kampuni ya CVPeople Tanzania
Nafasi 5 za Ajira CVPeople Tanzania Kuhusu CVPeople Tanzania CVPeople Tanzania ilianza mwaka 2014 kwa bajeti ndogo ikiwa sehemu ya franchise ya kimataifa inayojulikana kama CVPeople Africa. Baada ya kuwa sehemu ya franchise hiyo kwa zaidi ya miaka 6, CVPeople Tanzania ilimaliza ushirikiano wake na sasa inafanya kazi kwa uhuru kama kampuni ya ndani. Nafasi…