
Tangazo la kazi kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI)
Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imetangaza nafasi 26 za ajira kwa wataalamu mbalimbali kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) na Ajira Portal. Nafasi hizi zinajumuisha: 1.ICT Officer (Programmer) Nafasi: 1 Majukumu: Kusimamia na kuendeleza mifumo ya TEHAMA ndani ya MOI. 2.Technician (Mechanical) Nafasi: 1 Majukumu: Kufanya matengenezo ya mitambo na…