
Waliochaguliwa Kujiunga na Jeshi Uhamiaji 2025
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anatangaza kwa Vijana walioteuliwa kujiunga na Idara ya Uhamiaji kufika katika Chuo cha Uhamiaji Raphael Kubaga kilichopo Boma Kichakamiba, Wilaya ya Mkinga – Mkoa wa Tanga, siku ya Jumamosi tarehe 1 Machi 2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 2:00 usiku. Wale watakaofika chuoni baada ya muda tajwa hawatakubaliwa. Kwa wale…