
Sifa za Kujiunga na Chuo Kikuu cha St. Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS)
St. Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS) ni chuo kinachotoa mafunzo ya sayansi ya afya na sayansi zinazohusiana na afya, kilichoanzishwa mwaka 2010 na Tanzania Episcopal Conference (TEC). Chuo hiki kipo Ifakara, Morogoro, na kinalenga kutoa elimu bora kwa wataalamu wa afya ili kukidhi mahitaji ya sekta ya afya nchini Tanzania. Sifa…