-
Kuwasilisha taarifa zake kwa afisa mikopo (Namba ya usajili na taarifa za benki)
-
Kusaini malipo yanayotumwa chuoni kwake ndani ya muda uliopangwa
-
Kutoa taarifa kwa afisa mikopo wa chuo chake mapema, kama kuna tatizo lolote linalohusiana na mkopo wake
-
Kutembelea tovuti ya HESLB ili kupata taarifa mbalimbali za mikopo ya elimu ya juu
