Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mwaka 2025 yametolewa. Programu hii inawaandaa wanafunzi waliohitimu kidato cha sita kwa hatua inayofuata kabla ya kujiunga na vyuo vikuu.
Hakikisha:
- Kusoma maelekezo ya kujiunga na JKT kwa umakini.
- Kukamilisha mahitaji yote ya JKT kwa 2025.
- Kuhakikisha cheti cha kuzaliwa kimehakikiwa na RITA kwa ajili ya masuala ya vyuo na mikopo.
Maandalizi Kabla ya Kambi
Njia ya Kufika Kambini
- Tumia Google Maps kukuelekeza mpaka kambi lilipo.
- Tumia usafiri kama basi kufika eneo husika.
- Kamilisha mchakato wa maombi vyuo na mikopo kabla ya kuwasili kambini ili kuepuka usumbufu.
Kwa maswali zaidi na mawasiliano, unashauriwa kuwasiliana moja kwa moja na maafisa husika wa JKT. Tafadhali jitayarishe vizuri kwa mafunzo haya kwa ajili ya kujenga taifa bora.